Polisi wajichunguza tuhuma za kumpiga mwandishi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wajichunguza tuhuma za kumpiga mwandishi

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio aitwaye Sillas Mbise lililotokea August 08, 2018. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Polisi Kanda Maalum ...


Source: MwanahalisiRead More