Polisi wanasa mtandao wizi wa magari ya umma - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wanasa mtandao wizi wa magari ya umma

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 wanaodaiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari,ikiwemo magari ya umma. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 6 Novemba 2018, Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Liberatus Sabas amesema katika operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, ...


Source: MwanahalisiRead More