Polisi wasambaratisha mkutano wa Zitto Tarime - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wasambaratisha mkutano wa Zitto Tarime

JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea udiwani Chadema Kata ya Turwa wilayani Tarime. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkutano huo unadaiwa kuzuiwa kwa sababu ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi  wa wilaya hiyo kusimamisha mikutano yote ya Chadema. Zitto ...


Source: MwanahalisiRead More