Polisi wauwa majambazi watatu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wauwa majambazi watatu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauawa watu watatu wanaotuhumiwa kuwa majambazi huku wengine wawili wakitorokea kusikojulikana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumzia kuhusu tukio hilo lililotokea jana, Kamanda wa Polisi Kigoma, Martin Ottieno amesema majambazi hao waliuawa wakati wa majibizano ya risasi baina yao na askari polisi katika msitu wa Muyovosi walikokimbilia baada ya kufanya ...


Source: MwanahalisiRead More