Polisi wavamia mkutano wa Zitto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wavamia mkutano wa Zitto

MAOFISA kutoka Jeshi la Polisi limevamia Makao Makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo na kuondoka na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Tukio hilo limetokea asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2019, siku ambayo Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa chama hicho alipanga kufanya mkutano na wanahabari kwa ajili ya kuzungumzia Mkutano ...


Source: MwanahalisiRead More