Polisi wawashikilia watu 68 kwa kuharibu miundombinu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wawashikilia watu 68 kwa kuharibu miundombinu

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 68 kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Ngole kilichopo Kata ya Ilungu, Tarafa ya Tembela, Wilaya ya Mbeya Vijijini. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 18 Agosti, 2018 na SACP Ulrich Matei, Kamanda wa Polisi Mkoa wa ...


Source: MwanahalisiRead More