Polisi wawatahadharisha wakazi wa Monduli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wawatahadharisha wakazi wa Monduli

IKIWA kesho tarehe 16 Septemba 2018 ni siku ya uchaguzi mdogo katika majimbo mawili na kata zaidi ya 20 za Tanzania Bara, Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewatahadharisha wananchi wa jimbo la Monduli kutofanya fujo ili kukwepa kuchukuliwa hatua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, SACP Ramadhani Ng’anzi wakati ...


Source: MwanahalisiRead More