Polisi wazuia mkutano wa Mbowe Morogoro - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Polisi wazuia mkutano wa Mbowe Morogoro

JESHI la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliotarajiwa kufanyika kesho Jumapili tarehe 16 Juni 2019, kwa kile ilichoeleza kwamba ni kutokana na sababu za kiusalama. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkutano huo ulipangwa kufanyika hapo kesho katika viwanja vya Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, ...


Source: MwanahalisiRead More