PONGEZI KWA Saddy Kambona - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PONGEZI KWA Saddy Kambona

Tunampongeza Saddy Kambona kwa kufanikiwa kumaliza masomo yake ya shahada ya Uzamili(Masters) katika fani ya Sheria aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Novemba 13, 2018. Katika Sherehe za Mahafali iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City.  Saddy Kambona Mzee Hamisi Kambona, baba mzazi, akimvalisha taji mwanaye Saddy Kambona ikiwa ni ishara ya kumpongeza katika Sherehe ya Mahafali iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Sherehe hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Novemba 13, 2018.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More