PPRA YAENDESHA MAFUNZO YA SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA KWA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PPRA YAENDESHA MAFUNZO YA SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA KWA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Augustino Tendwa akiongoza mkutano wa Mafunzo ya Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na mabadiliko yake 2016 yaliyoandaliwa na Kitengo cha manunuzi cha Ofisi hiyo yaliyoanza kuanzia tarehe Juni 6 hadi 9 Juni, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano LAPF Dodoma. Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika mafunzo ya Sheria ya Manunuzi ya Umma yaliyoratibiwa na Kitengo cha Manunuzi cha Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na Mradi wa Mpango wa Kuboresha Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini (SAGCOT) Jijini Dodoma. Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya Sheria ya Manunuzi ya Umma yaliyoratibiwa na Kitengo cha Manunuzi cha Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na Mradi wa SAGCOT Jijini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Metrida Kaijage akieleza jambo kwa wajumbe wa mafunzo ya Sheria ya manunuzi ya Umma (hawapo pichani) yaliyoratibiwa na Kitengo hicho kwa kushirik... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More