PREMIER BET YATOA MAMILIONI KWA WASHINDI WA JACKPOT YA SOKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PREMIER BET YATOA MAMILIONI KWA WASHINDI WA JACKPOT YA SOKA

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Premier Bet nchini imetoa zawadi kwa washindi wa Jackpot ya soka iliyofanyika Machi 9 mwaka huu huku washindi wawili  wakijinyakulia vitita vya milioni 42.5 kwa kila mmoja.
Akizungumza na vyombo vya habari Meneja rasilimali watu wa kampuni hiyo Amanda Kombe amesema kuwa jamii imekuwa na uelewa mzuri mara baada ya kuzindua na kuhabarisha umma juu ya promosheni hiyo ya jackpot na kueleza  kuwa katika Jackpot iliyochezeshwa Jumamosi jumla ya shilingi milioni 85 zilikuwa zikishindaniwa na washindi wawili wamepatikana ambao ni Flavian Msigala kutoka Dar es salaam na Robert Daniel kutoka Mpanda ambao kila mmoja amejinyakulia kitita cha shilingi milioni 42 na laki tano.
Amanda amesema kuwa washindi hao waliweza kubashiri kwa usahihi mechi zote 12 na wengine 15 waliweza kubashiri 11  na wengine 52 kubashiri kwa usahihi mechi 10 na hao wote wamebahatika kupata kifuta jasho. Amesema kuwa hiyo ni jackpot ya pili kutoa washindi walibaoshiri kwa usahihi zaidi na... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More