Presha Guardiola achanganyikiwa na VAR, adai inapendelea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Presha Guardiola achanganyikiwa na VAR, adai inapendelea

Kocha huyo ametoa mfano wa mpira ulioguswa na mkono na beki wa Chelsea, Andreas Christensen katika pambano la Super Cup dhidi ya Liverpool Jumatano iliyopita lakini mwamuzi hakutoa penalti.


Source: MwanaspotiRead More