Producer Manecky afunguka kwa uchungu “hakuna wa kumfananisha na Pancho” (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Producer Manecky afunguka kwa uchungu “hakuna wa kumfananisha na Pancho” (+Video)

Mwandaaji wa muziki kutoka Tanzania Manecky amefunguka juu ya ukaribu wake na aliyekuwa producer mwenzake aliyeaga dunia maeneo ya Mbudya wakati anaogelea Pancho Latino. Maneckey amesema ” Pancho alikuwa na vitu adimu sana ukimfananisha na Maproducer wa sasa”By Ally Juma.


The post Producer Manecky afunguka kwa uchungu “hakuna wa kumfananisha na Pancho” (+Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More