Prof.Kabudi aipongeza Tigo kwa huduma nzuri SADC - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof.Kabudi aipongeza Tigo kwa huduma nzuri SADC

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuia ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, akisajili laini yeke kwa kutumia alama za vidole katika banda la kampuni ya simu ya Tigo ambapo Tigo alikuwa mdhamini mkuu wa intaneti ya bure katika Mkutano wa 39 wa wakuu wa Nchi za SADC jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuia ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, akisajili laini yeke kwa kutumia alama za vidole katika banda la kampuni ya simu ya Tigo ambapo Tigo alikuwa mdhamini mkuu wa intaneti ya bure katika Mkutano wa 39 wa wakuu wa Nchi za SADC jijini Dar es Salaam.... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More