Prof. Kabudi akutana na Bodii ya AICC - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Kabudi akutana na Bodii ya AICC


Mhe. Prof. Kabudi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya AICC, Balozi mstaafu, Ladis Komba (kulia) alipokuwa akimpatia taarifa fupi kuhus bodi hiyo. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Balozi Brigedia Jenerali (mst.), Francis Mndolwa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC, Bw. Elishilia Kaaya.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kwa ajili ya kukutana na Bodi ya Kituo hicho ikiwa ni mkutano wake wa kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo mwezi Machi 2019. Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha tarehe 13 Mei 2019 

... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More