Prof. Kabudi aukimbia mtego wa Zitto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Kabudi aukimbia mtego wa Zitto

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi ameshindwa kujibu kipengele B kwenye swali la Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuhusiana na idadi ya mashauri yaliyofunguliwa katika mahakama za kimataifa, ambayo serikali imeshinda na kushindwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Zitto leo tarehe 9 Novemba 2018 amehoji bungeni kuwa, “Je kuanzia mwaka 2000 hadi ...


Source: MwanahalisiRead More