Prof. Kamuzora –Tuwajengee Vijana Wetu Uwezo Kifikra - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Kamuzora –Tuwajengee Vijana Wetu Uwezo Kifikra

  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu ) Prof .Faustin Kamuzora akiwasili katika Ofisi za Taasisi ya Sekta Binafsi zilizoko Msasani leo (jana) alhamisi Septemba 13, 2018 Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano baina yake na Watendaji wa Taasisi hiyo kuhusu namna bora ya kuwainua vijana kiuchumi kupitia ujasialiamali. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ujasiriamali na Ushindani Nchini (TECC) Sosthenes Sambua na wa pili kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanchi Kiuchumi (NEEC) Bang’i Issa. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ujasiriamali na Ushindani Nchini (TECC) Sosthenes Sambua (wa kwanza Kulia) akieleza jambo kwa Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu ) Prof .Faustin Kamuzora (wa pili kulia) katika mjadala kuhusu njia bora ya kuwainua vijana kiuchumi kupitia ujasiariamali. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF). Kongamano hilo limefanyika leo (jana) alhamisi Septemba 13, 2018 katika ofis... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More