Prof. Lipumba alalamika rafu Uchaguzi Liwale - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Lipumba alalamika rafu Uchaguzi Liwale

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, anadai kuna uwepo wa rafu katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Liwale unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Oktoba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 9 Oktoba 2018 jijini Dar es Salaam, Prof. Lipumba amedai kuwa, ...


Source: MwanahalisiRead More