Prof. Lipumba amaliza kazi, amng’oa Maalim Seif - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Lipumba amaliza kazi, amng’oa Maalim Seif

HATIMAYE Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francies Mutungi, amekamilisha kazi aliyotumwa. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Amempachika Halifa Suleiman Halifa kwenye cheo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad.  Maalim Seif, mwanasiasa nguli Visiwani, ametangazwa kuvuliwa wadhifa ...


Source: MwanahalisiRead More