PROF. MCHOME AKAGUA UTOAJI WA MSAADA WA KISHERIA MKOANI SINGIDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PROF. MCHOME AKAGUA UTOAJI WA MSAADA WA KISHERIA MKOANI SINGIDA


Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof.Sifuni Mchome akitia saini kitabu cha wageni kaoka Ofisi ya Katibu Tawala mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi aliekaa mbele akimuangalia.Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof.Sifuni Mchome akiangalia Moja ya machapisho ambayo yapo katika KITUO Cha msaada wa sheria Singida alipokitembelea kituo kwa ukaguzi.Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof.Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa kituo cha msaada wa sheria Singida alipokitembelea kituo hicho kwa ukaguzi.Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof.Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na watoa huduma ya msaada wa sheria mkoani Singida alipokuwa mkoani humo kwa ziara ya ukaguzi.Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof.Sifuni Mchome akizungumza na watendaji wa KITUO Cha msaada wa sheria Singida juu ya huduma za msaada wa sheria kwa wannachi alipofika kuangalia eneo wanalotumia kutoa msaada huo kwa wananchi.
******************************************... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More