Prof. Ndalichako aendeleza makali yake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Prof. Ndalichako aendeleza makali yake

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuvifungia vyuo visivyokidhi vigezo hasa vile vilivyowekwa chini ya uangalizi. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Prof. Ndalichako ametoa agizo hilo leo tarehe Agosti 9, 2018 jijini Dar es Salaam wakati akizindua baraza jipya la uongozi la NACTE. “Mwaka 2017 vyuo ...


Source: MwanahalisiRead More