PROFESA MBARAWA AAGIZA DAWASA WAANZE KUVITUMIA VISIMA VYA KIMBIJI MPERA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PROFESA MBARAWA AAGIZA DAWASA WAANZE KUVITUMIA VISIMA VYA KIMBIJI MPERA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa ametoa maagizo kwa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka DAWASA kuanza kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwenye visima vilivyokamilika.
Amesema hayo baada ya kutembelea visima vilivyopo mpiji vinavyojengwa na Kampuni ya Serengeti katika mradi ulioanza 2014 utakaowezesha upatikanaji wa maji katika maeneo mengi ya Jijini Dar es salaam na Pwani.
Akizungumza baada ya kumaliza kuvikagua visima hivyo, Mbarawa amesema kuwa visima vilivyokuwa vimekamilika vianze kujengwa matanki ili wananchi waanze kupata maji Safi na salama.
Mbarawa amesema, "DAWASA msisubiri mkabidhiwe visima vyote kutoka kwa mkandarasi kwa sasa mnatakiwa mjenge matanki kwa ajili ya kuhifadhi maji na kuanza kuwahudumia wananchi,"
“Visima vya Kimbiji vipo tayari na hapa nimetembelea kisima ch M1, 2 na 5 na viwili hapo vimekamilika M1 kikitoa Lita 120,000 kwa saa na M5 Lita 100,000 kwa saa, ni hatua kubwa kwakuwa vimeshakamilika.”
Amesema, visima vya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More