PROFESA MKUMBO AZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUWEKEZA KWENYE MIRADI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PROFESA MKUMBO AZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUWEKEZA KWENYE MIRADI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na wadau mbalimbali wa maendeleo wakati wa semina ya miradi ya maji iliyofadhiliwa na Water Aid uliojengwa Kibondemaji na Toangoma.


Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa serikali imezitaka mamlaka za maji kujiendesha kikamilifu ikiwemo  kuwekeza moja kwa moja kwenye miradi ya maji.
Hayo ameyasema Profesa Mkumbo wakati wa semina iliyowahusisha wadau mbalimbali wa maendeleo inayohusu miradi ya maji ya Toangoma na Kibondemaji.
Amesema kuwa, kumekuwa na utekelezaji mbalimbali wa miradi ya maji unaofanywa na serikali kwa kuwekeza kikamilifu ila kwa sasa Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa amezitaka mamlaka zote zianze kujiendesha.
Ameeleza kuwa, wadau mbalimbali wa maendeleo wamekuwa wanashiriki kwa kiasi kikubwa kwenye uwekezaji wa miradi ya maji na suala hilo limekuwa na mchango mkubwa sana kwa serikali.

Profesa Mkumbo amesema zaidi ya ma... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More