Profesor Jay amekuja na nyingine tena na kwa mara hii amemshirikisha Harmonize nyimbo inaitwa “Yatapita” (+Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Profesor Jay amekuja na nyingine tena na kwa mara hii amemshirikisha Harmonize nyimbo inaitwa “Yatapita” (+Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa Mikumi Profesor Jay ameweza kuachia audio ya nyimbo yake ambayo amamshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB ambayo ni Harmonize,nyimbo ikijulikana :Yatapita”Msanii huyu ametoa audio ya nyimbo hii baada ya ngoma yake ya Vunja mifupa ikiendelea kufanya vizuri akiwa amemshirikisha mwanadada Ruy.By Ally Juma.


The post Profesor Jay amekuja na nyingine tena na kwa mara hii amemshirikisha Harmonize nyimbo inaitwa “Yatapita” (+Audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More