PROGRAM COORDINAOR WA AGITOS FOUNDATION ATEMBELEA MAZOEZI YA WAOGELEAJI WENYE ULEMAVU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PROGRAM COORDINAOR WA AGITOS FOUNDATION ATEMBELEA MAZOEZI YA WAOGELEAJI WENYE ULEMAVU

 Program Coordinator wa Agitos Foundation Bi Sheila Cleo Mogalo ambaye aliwasili  nchini siku ya Jumanne 7 may 2019 jumamosi May 11, 2019 ametembelea mazoezi ya KUOGELEA ya  watu wenye ulemavu. Mazoezi ya watu wenye  ulemavu yamefanyika katika  bwawa la kuogelea la shule ya Nordic iliyoko Masaki, Dar es salaam. Bi Sheila alifuatana na Katibu Mkuu wa Tanzania Paralympic Committee (TPC) Bwana Tuma Dandi katika kuangalia maendeleo ya michezo ya watu wenye ulemavu. Bi Sheila aliweza kuzungumza na Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu ndugu Ramadhana Namkoveka jinsi anavyoendesha mafunzo yake, anavyopata waogeleaji, kuwaandaa na changamoto mbalimbali anazokutana nazo . Ramadhan Namkoveka alimuarifu kuwa anapata waogeleaji kutoka katika taasisi mbalimbali kama Watoto Kwanza ya Kawe, shule za msingi na wengine ambao wanatoka katika mitaa. Mafunzo hayo ambayo anayatoa bila gharama yoyote, alisema changamoto kubwa ni kupata bwawa la kuogelea ambalo atapata nafasi ya kufanyia m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More