PS 3 YABORESHA WATENDAJI WA UMMA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PS 3 YABORESHA WATENDAJI WA UMMA NCHINI

Mwezeshaji wa mafunzo ya WISN PLUS POA ,Joram Kiungo toka Tamisemi akitoa somo kwa washiriki wa mkoa wa Dar jinsi ya utoaji wa taarifa za kimfumo katika upangaji wa watumishi katika halmashauri zao Mafunzo ya siku mbili yaliyoanza leo mkoani mtwara na kufanyika katika kanda 6 Nchini na kusimamiwa na tamisemi kupitia mradi wa uboreshaji wa mifumo ps 3 chini ya ufadhili wa USAID. 
Na Abdulaziz Ahmeid, MtwaraWAKATI Serikali inatarajia kuajiri katika sekta ya afya watumishi wapya 7680 (6180 wa Ofisi ya Tamisemi na 1500 wa Wizara ya afya), halmashauri nchini zimetakiwa kutumia ripoti za mfumo wa WISN plus POA iliyorahisishwa kusambaza watumishi wapya kwa kuzingatia uzito wa kazi na mahitaji kama yalivyoainishwa kwenye taarifa hizo. Kauli hiyo imetolewa katika kikao kazi kilicholenga kuwasilisha matokeo ya uchambuzi wa mahitaji ya watumishi kwa kutumia mfumo wa WISN plus POA iliyorahisishwa kinachofanyika mkoani hapa. Mfumo wa WISN plus POA hutumika kukokotoa mahitaji ya watumishi k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More