PSG YAAMBULIA SARE KWA NAPOLI 1-1 LIGI YA MABINGWA ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PSG YAAMBULIA SARE KWA NAPOLI 1-1 LIGI YA MABINGWA ULAYA

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Napoli, Marek Hamisk na Jose Callejon katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjii Napoli. Timu hizo zilifungana 1-1, PSG wakitangulia kwa bao la Juan Bernat dakika ya 45 na ushei, kabla ya Lorenzo Insigne kuisawazishia Napoli kwa penalti dakika ya 62, kufuatia Jose Callejon kuchezewa rafu Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More