PSSSF YAWAHAKIKISHIA WANACHAMA NA WASTAAFU WA MFUKO HUO HUDUMA BORA NA ZA HARAKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PSSSF YAWAHAKIKISHIA WANACHAMA NA WASTAAFU WA MFUKO HUO HUDUMA BORA NA ZA HARAKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Ryoba (kushoto), akiwa kwenye mazungumzo na Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Eunice Chiume, wakati meneja huyo alipotembelea studio za TBC Mikocheni jijini Dar es Salaam Juni 12, 2019. Ziara hiyo ilikuwa ni muendelezo wa ziara ya Bi. Chiume kutembelea vyombo vya habari jijini ili kuimarisha mahusiano na kueleza shughuli za Mfuko huo ambao ni mpya. PSSSF iliundwa baada ya kuunganishwa kwa Mifuko minne ya Hifadhi ya Jamii ambayo ni PSPF, LAPF, PPF na GEPF. Vyombo vingine ambavyo PSSSF ilivitembelea katika ziara ya Juni 12, 2019 ni pamoja na Kampuni ya Uhuru Publications Limited (UPL), Kampuni ya African Media Group, wamiliki wa Channel Ten na Magic FM, kampuni inayochapisha gazeti la Jamhuri, Kampuni ya New Habari (2006) wachapishaji wa magazeti la Mtanzania, Rai, na Dimba. Pamoja na mambo mengine, Meneja huyo kiongozi amesema Mfuko umeanza kut... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More