PWANI YACHANGAMKIA GESI ASILIA KWA VIWANDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PWANI YACHANGAMKIA GESI ASILIA KWA VIWANDA

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio akikagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza gesi asilia viwandani kwa Mkoa wa Pwani, kulia ni Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO, Mhandisi Baltazar Mrosso.Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO, Mhandisi Baltazar Mrosso katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu.
Mkoa wa Pwani ni moja ya mikoa mitatu inayonufaika na matumizi ya gesi asilia viwandani, mikoa mingine ni pamoja na Mtwara na Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa kutoka TPDC, kuna viwanda vinne hadi sasa Mkoa wa Pwani ambavyo vimeshatiliana sahihi mkataba wa mauziano ya gesi asilia na TPDC.
Katika ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza gesi zaidi kwa wateja wa viwandani mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio anasema “kuelekea Tanzania ya viwanda, TPDC inahakikisha upatikanaji wa nishati nafuu na rafiki kwa ma... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More