PWANI YAKAMATA LUNINGA KUMI ZA WIZI,WEZI TISA AKIWEMO WA MAFUTA KWENYE MRADI WA UJENZI WA STANDARD GAUGE-WANKYO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

PWANI YAKAMATA LUNINGA KUMI ZA WIZI,WEZI TISA AKIWEMO WA MAFUTA KWENYE MRADI WA UJENZI WA STANDARD GAUGE-WANKYO


Na Mwamvua Mwinyi, Pwani JESHI la polisi mkoani Pwani, limekamata luninga kumi flat screen zenye thamani ya sh. mil.18, ambazo ziliibiwa katika matukio mbalimbali ya uvunjaji, mkoani humo. 
Aidha linamshikilia mtu mmoja jina limehifadhiwa baada ya kukutwa akiwa na madumu kumi yenye ujazo wa lita 20 ya mafuta aina ya dizeli  ,aliyoiba katika mradi wa ujenzi wa reli ya standard gauge , Soga wilaya ya kipolisi Mlandizi. 
Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo, kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP)  Wankyo Nyigesa alisema, wanashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika kwenye matukio hayo. 
Nyigesa alieleza katika msako huo wamekamata jenereta mbili kubwa zenye thamani ya milioni 6.5 ambazo ni aina ya Euro power EP. 6500E na boss BG -2500 .
Alifafanua, vitu vingine vilivyokamatwa ni deki mbili, vingamuzi viwili, speaker mbili, music system mbili, home fieta moja, rimoti sita, speaker twiter mbili, flash moja kapeti za chini ya sakafu mbili, stendi ya vyombo moja na extention moja. 
Hata hi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More