QNET inaleta bidhaa zake za kuboresha maisha nchini Tanzania - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

QNET inaleta bidhaa zake za kuboresha maisha nchini Tanzania

· Dar es salaam inakuwa mwenyeji wa siku 2 za maonyesho ya Absolute Living (Kuishi kikamilifu) ya bidhaa QNET 
· Watu wote wanakaribishwa kuhudhuria na kuelewa bidaa za QNET, huduma na mtindo wake wa biashara. 
Tarehe 13 Machi 2019, Dar es salaam: Kampuni yenye asili ya Asia ya mauzo ya moja kwa moja QNET itaendesha maonyesho ya bidhaa na huduma zake jijini Dar es salaam siku ya tarehe 16 na 17 Machi 2019 katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 1 Jioni. 
Maonyesho yenye jina la Absolute Living, (Kuishi Kikamilifu) sambamba na falsafa ya bidhaa za kampuni ya mauzo ya moja kwa moja, huwa yanafanyika kila mwaka katika nchi mbalimbali duniani kote ikiwa na lengo la kuonyesha bidhaa zake na huduma kwenye masoko mapya. Onyesho hilo pia linakuwa kama jukwaa kwa wateja na wadau wengine wanaotaka kufahamu kuhusu QNET na mtindo wake wa biashara. 
Nadharia ya Absolute Living (Kuishi Kikamilifu) inaakisi juhudi za QNET za kukuza mwenendo wa kujali afya, mtindo... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More