QNET YAONGEZA MAUZO YA MOJA KWA MOJA NA KUIMARISHA SOKO LA KANDA KWA KUTOA BIDHAA MPYA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

QNET YAONGEZA MAUZO YA MOJA KWA MOJA NA KUIMARISHA SOKO LA KANDA KWA KUTOA BIDHAA MPYA

Na mwanandishi Wetu.
Mauzo ya moja kwa moja (maafuru kama network marketing) yanakuwa kwa kasi katika eneo la kusini mwa Jangwa la Sahara ya Afrika na hasa Afrika Mashariki, jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limesababishwa na ongezeko la idadi ya watu katika kanda hii pamoja na vijana mahiri ambao kwa mujibu wa taarifa ya Uchambuzi wa Ongezeko la Vijana ya Taasisi ya Maendeleo ya Afrika - sasa Afrika Mashariki ina zaidi ya 45% ya vijana kati ya watu milioni 150 walioko Kenya, Tanzania, Rwanda na Uganda. Wengi wa vijana hawa wana elimu, kwa ujumla wana ufahamu wa teknolojia, wepesi kufuata mienendo mipya, wana hamasa ya kuweka juhudi na fikra za ujasiriamali - jambo ambalo ndio sifa ya awali ya mafanikio endelevu katika biashara ya uuzaji wa moja kwa moja.
Kwa wanaoanza, mauzo ya moja kwa moja ni wazo la biashara ya kimataifa na linaelezewa kama 'uuzaji wa bidhaa za matumizi au huduma, kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mtu mwingine, mbali na maeneo ya maduka ya kawaida'. Mtindo huu wa mauzo una z... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More