QNET yatoa fursa ya mtu kufanya kazi kwa bidii na kuleta mabadiliko chanya - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

QNET yatoa fursa ya mtu kufanya kazi kwa bidii na kuleta mabadiliko chanyaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Paul Makonda (katikati) na Meneja wa QNET, kanda kusini ya Afrika Biram Fall (kushoto) wakikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya bidhaa za QNET 2019 jijini humo. Kulia ni Mshauri wa Biashara wa QNET Tanzania, Edward Mkony.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na wawakilishi, wafanyakazi na waalikwa wa QNET kuhusu maadili ya kazi kwenye uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za QNET jijini Dar Es Salaam jana.

………………………………………………………………………….

*Maelfu wa hudhuria maonyesho ya QNET Dar es salaam

*Watanzania kunufaika na bidhaa mbalimbali pamoja na fursa za biashara

Kampuni yenye asili ya Asia ya mauzo ya moja kwa moja QNET imeendesha maonyesho ya bidhaa na huduma zake jijini Dar es salaam siku ya tarehe 16 na 17 Machi 2019. 

Maonyesho yenye jina la Absolute Living, (Kuishi kikamilifu) sambamba na falsafa ya bidhaa za kampuni ya mauzo ya moja kwa moja, huwa yanafanyika kila mw... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More