Queen Darlen Amuanika Mpenzi Wake - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Queen Darlen Amuanika Mpenzi Wake

Mwanadada Queen Darlen kwa mara ya wanza ameamua kuwmuweka wazi mpenzi wake ambae watu wengi wamekuwa wakisema kuwa mwanadada huyo pekee kutoka katka kundi la wasafi hana mwanaume katika maisha yake huku wakisema kuwa amekuwa na tabia za kiume.


katika ukurasa wake wa instagram , ambapo ndipo wasanii wengi wamekuwa wakitumia kama sehemu rasmi ya kuwajuza mashabiki wo mambo mbalimbali, Queen darlen aliweka picha akiwa na mwanaume huyo na kusema kuwa atammmisi sana hasa wasafi festival itakapo anza kwa sababu hawatakuwa pamoja mara nyingi.


Mwanaume huyo ambae anaonekana hayuko familia katika macho ya watu wala katka tasnia za sanaa ametangazwa na mwanadada huyo kama rafiki yake wa kiume . 


 


The post Queen Darlen Amuanika Mpenzi Wake appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More