QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO

Pichani kulia Katibu Mkuu UWT ,Queen Mlozi akimuombea  kura Mgombea wa Udiwani kwa tiketi ya ccm katika kata ya kizota mkoani Dodoma ndugu Jamal Paul. Katika Kampeni hizo Ndugu Mlozi amewaomba wakazi wa kata hiyo kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi wakati wa kupiga kura na kumchagua kiongozi  atakae wafaa na kuwaletea maendeleo ya kweli na si maneno matupu.katibu Mkuu Uwt Queen Mlozi akiagana na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Antony Mavunde mara baada ya Mkutano wa kumnadi mgombea wa udiwani kwa tiketi ya  chama cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya kizota,uliofanyika jana.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More