"MOROGORO MARATHONI" ILIVYOFANA BAADA YA KUFANYIKA KWA MARA YA KWANZA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

"MOROGORO MARATHONI" ILIVYOFANA BAADA YA KUFANYIKA KWA MARA YA KWANZA

 Washiriki wa Mashindano ya Mbio za Morogoro Marathoni akiwemo Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Morogoro wakiwa wamejiapnga tayari kuanza mbio za Kilometa 21 zilizoanzia jirani na ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro. Kikundi cha Mazoezi cha Mzimuni Jogging Club wakiwa katika maandalizi ya kushiriki mbio hizo ambazo zimefanyika kwa mara ya kwanza katika mkoa wa Morogoro. Kundi la Arusha Runners pia walikuwa ni washiriki wa tukio hilo . Washiriki wa Mbio za Km 21 ,Morogoro Marathon wakipita katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Morogoro.  Wanariadha nguli ,Marko Joseph,Dickson Marwa,Faraja Lazaro ,Anthony Moya na Chacha Boy wakichuana vikali katika Mashindano mapya ya Morogoro Marathon yaliyofanyika mkoani Morogoro kwa upande wa km 21.  Wanariadha Amina Mohamed na Rozalia Fabian kutoka klabu ya Jkt Arusha wakikimbia mbio za Kilometa 21 katika Mashindano mapya ya Morogoro Marathon yaliyofanyika mkoani Morogoro.  Mshindi wa kwanza katika Mashindano Mapya ya Morogoro Marathon... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More