"Nahitaji kujihakikishia namba Yanga" Kabwili kipa kijana wa Yanga sc - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

"Nahitaji kujihakikishia namba Yanga" Kabwili kipa kijana wa Yanga sc

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.06.2018 SAA 10:24 JIONI
Kipa chipukizi wa klabu ya YANGA Ramadhani Awam Kabwili amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kucheza dakika 90 kwa klabu yake hiyo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji FC ulipigwa  jumanne ya 6 Feb, katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA
...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->Source: Jamii na MichezoRead More