R. Kelly akimbizwa hospitalini baada ya kuanguka, wakati akitazama makala ya namna alivyowafanyia vitendo vibaya mabinti wadogo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

R. Kelly akimbizwa hospitalini baada ya kuanguka, wakati akitazama makala ya namna alivyowafanyia vitendo vibaya mabinti wadogo

Kwa mujibu wa mtandao wa Hot97 umeripoti kuwa mwanamuziki mkogwe R Kelly amekimbizwa hospital hii ni baada ya kupata tatizo la kuanguka mara kwa mara wakati alipokuwa akitazama Makala ya Life Time.

inayoonyesha namna ambavyo msanii huyo alivyokuwa akiwafanyia vitendo vya unyanyasaji wa kingono wanawake waliokuwa na umri chini ya miaka 18.

Imeripotiwa kuwa Kellz alipata shambulio la hofu (panic) na kuathiri afya yake siku moja kabla ya kuoneshwa rasmi filamu ya ‘Surviving RKelly’ ya kampuni ya Lifetime. Hot97 na TMZ vimeeleza kuwa mwimbaji huyo alitetereka kiafya kiasi cha kutafuta msaada wa kitabibu.

Hii ilimpelekea R.Kelly kuamua kutotumia muda wake akiwa nyumbani kwani ingemletea madhara makubwa, ndio maana ameanza kuonekana kwenye kumbi mbali mbali za starehe.

Taarifa nyingine ni kwamba polisi mjini Chicago walimuweka chini ya ulinzi Kellz jana kufuatia simu ya dharura iliyopigwa kwao ikihitaji msaada wao mara baada ya wasamaria wema kumuoana Kellz amesi... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More