Rabbin Sanga alivyopokelewa Serengeti Boys - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rabbin Sanga alivyopokelewa Serengeti Boys

Kijana wetu Rabbin Sanga alivyorejea Bongo na kujiunga moja kwa moja timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’.


Sanga ametoka Uturuki alikokwenda kufanya majaribio ya kucheza soka barani Ulaya katika Academy ya klabu ya Besiktas.


Sanga alipata nafasi hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano ya Ndondo Cup Academy 2018 na kufadhiliwa na kampuni ya Beko kwenda majaribioni.


Kufanya kwake vizuri Uturuki kumemfanya aitwe Serengeti Boys inayojiandaa na fainali za AFCON U17 fainali zitakazofanyika nchini Tanzania mwezi April mwaka huu.


Angalia full video hapa chini #YouTube kupitia #DaudaTV uone Rabbin Sanga alivyopokelewa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’. Bofya PLAY▶u-enjoy.


... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More