Rado Akiri Kumjua PCK kabla ya Kutangazwa na Wema. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rado Akiri Kumjua PCK kabla ya Kutangazwa na Wema.

Msani Rado amefunguka na kusema kuwa PCK kweli ni tapeli wa siku nyingi kabla hata hajaanza kuwa na mahusiano na wema ila wema aliingia kichwa kichwa katika mapenzi na mwanaume huyo.


Akiongea, Rado anasema kuwa yeye alimjua PCK baada ya kumtapeli rafiki yake mmoja na kwenda mpka akituo cha polisi ambapo baada ya kufuatilia waliambiwa kuwa mwanaume huyo amekuwa na tabia ya kuwapiga picha za uchi wanawake na kisha kuziweka katika mitandao ya kijamii.


Mahusiano ya Wema na PCK yamekuwa ya muda mfupi lakini yameleta madhara makubwa sana kwa dada huyo mpaka kufikia hatua ya kutapeliwa zaidi ya shilingi milioni 40 zilikuwa zikitegemewa na wema kwa ajili ya biashara  yake mpya ya hivi karibuni.


Inasemekna kuwa wawili hao walianza kujitangaza katika mitandao hasa baada ya video ya wawili hao ya kwanza kuvuja na ili kuwanyamazisha watu , Wema aliamua kuweka wazi kuwa huyo ndo future husband wake.


The post Rado Akiri Kumjua PCK kabla ya Kutangazwa na Wema. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More