Rage: Milioni 30 ya JK nilizipeleka huku - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rage: Milioni 30 ya JK nilizipeleka huku

Siku chache baada ya rais Mstaafu, Jakaya Kikwete (JK) kueleza namna alivyotoa Sh 30 Milioni kwa ajili ya kununua uwanja wa Simba, aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ameleza namna alivyopewa fedha hizo na alipozipeleka.


Source: MwanaspotiRead More