RAHIM MUNISI WA YOMBO VITUKA AINGIA KWENYE ORODHA YA WASHINDI WA BAJAJI ZA SPORTPESA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAHIM MUNISI WA YOMBO VITUKA AINGIA KWENYE ORODHA YA WASHINDI WA BAJAJI ZA SPORTPESA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri SportPesa inaendelea kubadili maisha ya watanzania kwa kutoa zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa. Promosheni hii inawawezesha watanzania kutoka mikoa yote kujishindia zawadi kama Bajaji, Jezi ya Simba na Yanga, simu za mkononi (Smartohones pamoja na tiketi za kuhudhuria mechi za ligi kuu inayoendelea nchini Hispania na Uingereza).
Kupitia *150*87# na kuweka pesa kwenye akaunti yako kuanzia shilingi 1000 kutapelekea mtumiaji wa mitandao yote ya simu kui ngia kwenye droo kujishindia zawadi hizo mara baada ya kuweka ubashiri wake kila siku.

Akishuhudia ushindi wake mkazi wa Yombo Vituka kwa masizi hapa jijini Dar es Salaam, ambapo hapo  mshindi wa droo ya 44 katika shinda zaidi na sportpesa huyu ni Rahim Munisi yuko tayari kukabidhiwa bajaj yake ya ushindi.
Akiwa mwenye furaha munisi aliipokea timu ya ushindi akiwa na jamaa ndugu pamoja rafiki zake ambao wote walikuwa mashuhuda wakati anakabidhiwa ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More