RAIA WA KIGENI WAKUTWA NA KIASI KIKUBWA CHA FEDHA KWENYE KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIA WA KIGENI WAKUTWA NA KIASI KIKUBWA CHA FEDHA KWENYE KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Bi.Nada Zaelnoon Ahamed (38) Raia wa Sudan Kusini (katikati mwenye ushungi) akiwa mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), baada ya kukamatwa na dola 60,000 za Kimarekani na Paundi 3410 za Sudan.  
Raia wa Syria, Bw. Mohamed Belal (31) mwenye fulana nyeupe akiwa mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), baada ya kukamatwa na dola 10,000 za Kimarekani, ambazo hakuzitolea taarifa kwa Maafisa wa Forodha wa kiwanjani hapo.

  Jumla ya Dola za Kimarekani 70,000 sawa na Tsh. milioni 156 za Kitanzania zikiwa zimekamatwa leo kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), zikisafirishwa na Raia wawili wa Syria Bw. Mohamed Belal na Bi. Nada Zaelnoo Ahamed raia wa Sudan Kusini kwa kutofuata taratibu.
 Kamishna Msaidizi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Barnabas Mwakalukwa akiny... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More