Raia wa kigeni wanaswa wakitorosha dola 70,000 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Raia wa kigeni wanaswa wakitorosha dola 70,000

RAIA wawili wa kigeni, Nada Zaelnoon Ahamed (38) kutoka Sudan Kusini na Mohamed Belal (31) raia wa Syria wamewekwa kizuizini na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa (JNIA) wakisafirisha dola za kimarekani 70,000 kinyume na sheria.  Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumzia kuhusu tukio hilo lililotokea jana tarehe 9 ...


Source: MwanahalisiRead More