Raia wa kigeni waungana na Watanzania kuadhimisha siku ya usafi duniani ‘Tanzania itakuwa kama Rwanda’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Raia wa kigeni waungana na Watanzania kuadhimisha siku ya usafi duniani ‘Tanzania itakuwa kama Rwanda’ (+video)

Leo Septemba 15, 2018 ni siku ya usafi duniani ambapo Wakazi wa Dar es salaam, Tanzania wameungana na Raia wa kigeni kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji. Bongo5 ilitembelea moja ya vituo hivyo vya usafi maeneo ya Coco Beach kuadhimisha tukio hilo, ambalo lilikuwa linaratibiwa na Tasisi ya Nipe Fagio.The post Raia wa kigeni waungana na Watanzania kuadhimisha siku ya usafi duniani ‘Tanzania itakuwa kama Rwanda’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More