RAIA WA SYRIA,SUDAN KUSINI WAKAMATWA JNIA WAKISAFIRISHA MAMILIONI YA FEDHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIA WA SYRIA,SUDAN KUSINI WAKAMATWA JNIA WAKISAFIRISHA MAMILIONI YA FEDHA

ABIRIA wawili Raia wa Sudan Kusini na Syria leo wamekamatwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wakisafirisha fedha taslim dola 70 za Kimarekani sawa na shilingi milioni 156 za Kitanzania na paundi 3410 za Sudan bila kufuata taratibu.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la abiria la JNIA, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi, Barnabas Mwakalukwa alimtaja Raia wa Sudan Kusini Bi. Nada Zaelnoon Ahamed (38) mwenye hati ya kusafiria namba P01563534 amekamatwa saa 10:00 jioni akiwa eneo la ukaguzi wakati akiingia ndani tayari kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ 485) akielekea Nairobi.

Hatahivyo, Afande Mwakalukwa amesema abiria huyo mbali na fedha hizo za Kimarekani pia amekamatwa na paundi za Sudan 3410, ambazo zote kwa pamoja alishindwa kutoa taarifa ya fedha alizokutwa nazo kwa mujibu wa sheria ya utakatishaji fedha ya mwaka 2006 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2012.

Pia alimtaja Bw. Moh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More