RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitangaza uamuzi wa Serikali kununua korosho zote za wakulima msimu huu kwa bei ya shilingi 3,300 kwa kilo baada ya wanunuzi binafsi kushindwa kutimiza maagizo ya Serikali kwa kuanza kununua kwa kusuasua na kwa bei isiyoridhisha.

uamuzi wa akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwaapisha Viongozi saba wakiwemo Mawaziri wawili, Naibu Mawaziri wanne, pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Ikulu jijini Dar es Salaam.... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More