RAIS DK MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS IKULU MJINI DAR ES SALAAM LEO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DK MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS IKULU MJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na beki wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Kelvin Yondan  mara baada ya kuzungumza na kula nao chakula cha mchana Ikulu mjini Dar es Salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akimsabahi kipa wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Aishi Manula mara baada ya kuzungumza na kula nao chakula cha mchana Ikulu mjini Dar es Salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na beki wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Erasto Nyoni mara baada ya kuzungumza na kula nao chakula cha mchana Ikulu mjini Dar es Salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiwakabidhi Sh. Milioni 50, Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe pamoja na viongozi wa TFF ili zitumuke katika maandalizi ya mechi inayokuja ya kuwania kufuzi AFCON nchini Cameroon. ... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More