RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani katika futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Eneo hilo jana akiwa katika utaratibu wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba Wananchi wa Jimbomla Mkanyageni wakisubi wakati wa Swala ya Magharibi jana katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkanyageni katika Swala ya Mgaharibi kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Eneo hilo  katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kufutari... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More