RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ATIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ATIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA

 Katibu wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kw aajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
 Katibu wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
Katibu wa Rais Ngusa Samike akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Ma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More